Kuwa Mzazi au Mtunzaji Mpya
Iwe unakaribisha mtoto mchanga au mtoto mkubwa nyumbani mwako, kuna nyakati chache maishani ambazo zinaweza kulinganishwa na siku za kwanza na mtoto mpya. Ni kawaida kuhisi wasiwasi na kuzidiwa. Hakuna mwongozo, lakini kuna msaada kwa wazazi wapya na watunzaji katika Maine.
Be There for ME ni ya wazazi na watunzaji wote kule Maine, na watu wanaowasaidia. Kupata msaada kunaweza kuwa jambo ngumu na huchukua muda. Chukua hatua ya kwanza leo, hata kama hujui uende wapi. Rasilimali zilizoko kwenye tovuti hii ni mahali pasipo na kuhukumiwa pa kuanza kutafuta msaada.