Usafiri

Usafiri si gari tu - ni jinsi unavyosafiri kazini, kupeleka mtoto wako kwa daktari, na kuungana na jamii yako. Huenda kuna msaada hapa Maine wa kusaidia kukufikisha unapohitaji kwenda - kutoka kwa kununua gari au kupanda basi hadi kusaidia na pesa za gesi na viti vya gari. 

Nataka mtu anisaidie kuelewa

Community Action Agencies

Kuna shirika la jamii la kutekeleza katika kila kaunti kule Maine. Wafanyakazi wao wanaweza kukusaidia kujua jinsi unavyoweza kupata kile unachohitaji.

Image
MeCAP logo

Nahitaji kusafirishwa

MaineCare Non-Emergency Transportation

Unaweza kuratibu safari (au unaweza kurejeshewa gharama za usafiri) ili kukusaidia kufika na kutoka kwa miadi ya MaineCare. Utahitaji kuweka nafasi hii siku mbili za kazi mapema. 

Image
MaineCare Logo

Nataka kupata kiti cha gari

Nataka kujua kuna nini kingine huko nje

Be There for ME ni ya wazazi na watunzji wote katika Maine, na watu wanaowasaidia. Kupata msaada kunaweza kuwa jambo ngumu na huchukua muda. Chukua hatua ya kwanza leo, hata kama hujui uende wapi. Rasilimali zilizoko kwenye tovuti ni mahali pasipo kuhukumiwa pa kuanza kutafuta msaada.

person in a wheelchair being helped by someone else