Jambo Lingine

Unatafuta msaada kuhusu jambo fulani - lakini hupati. Usikate tamaa! Chochote unachopitia, kuna watu wengine wanaokipitia pia. Misaada iliyo hapa chini inaweza kuwa mahali pazuri pa kuanza kufahamu jinsi ya kupata usaidizi unaohitaji. 

Community Action Agencies

Kuna shirika la jamii la utekelezaji katika kila kaunti Wafanyakazi wa shirika hilo wanaweza kusaidia kukuunganisha kwa chochote unachohitaji ili ufike unapohitaji kwenda, na msaada mwingine pia.

Image
MeCAP logo

Community Care Program

Unaweza kuunganishwa na mtu ili kuzungumza kuhusu unachotafuta, kwa kuzingatia mahitaji yako ya kitamaduni na ya lugha.

Image
OPHE logo

Help Me Grow Maine

Ikiwa una mtoto mwenye umri wa miaka 8 au chini, unaweza kuzungumza na mtaalamu wa msaada wa familia ili kujua ni wapi unaweza kupata kile unachotafuta. 

Image
help me grow maine logo

Legal Resources

Kama unafikiri unaweza kuhitaji msaada wa kisheria, rasilimali hizi zinaweza kusaidia.

Image
A circular blue badge with a simple question mark symbol in the center.

Be There for ME ni ya wazazi na watunzji wote katika Maine, na watu wanaowasaidia. Kupata msaada kunaweza kuwa jambo ngumu na huchukua muda. Chukua hatua ya kwanza leo, hata kama hujui uende wapi. Rasilimali zilizoko kwenye tovuti ni mahali pasipo kuhukumiwa pa kuanza kutafuta msaada.

mother kiss her daughter while sitting on floor in living room